Naomba Gali 20 za 40ft transit nipakie kesho kwenda Rwanda, container 10 Gisenyi, na container 10 Kigali mjini, container Zina uzito Tani 31.5 pamoja na container lake, malipo yote Kigali na Gisenyi kabla hujashusha, unalipwa ela yote, itabaki USD 300 T